Leo ikiwa ni mchezo kati ya @simbasctanzania na @azamfcofficial mzalishaji na mtengenezaji wa jezi za @simbasctanzania @fred_vunjabei ametoa ofa kwa mashabiki wa Simba nchi nzima.
@fred_vunjabei ameeleza kuwa endapo @simbasctanzania itashinda basi kila shabiki aende dukani kwake akachukue jezi kwa Tsh 10,000 tu. Mbali na hilo @fred_vunjabei ameeleza kuhusu ujio wa jezi mpya za Simba.