MahojianoVideos

Fred Vunja Bei: Mwijaku ni chawa wa Hamisa, anapenda vitu vya Hamisa kuliko vya kwake (+ Video)

Akipiga stori na @el_mando_tz @fred_vunjabei ameeleza kuwa sababu za @mwijaku kusema hivo kuwa walipisha kauli.
@mwijaku ana tabia ya kuomba hela kabla ya kazi hivyo alivyoniomba hela nikamwambia amalize kwanza kazi niliyomwambia afanya akakasirika akaenda kuongea hayo maneno”
Alichukua milioni 3 na sio laki moja kama alivyosema”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents