FT: Simba waichapa Al Ahly moja nunge kwa Mkapa

Mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly umemalizika hapa Uwanja wa Mkapa jijini Dar Es Salaam ambapo Wanamsimbazi wameibuka na ushindi kwa goli moja ililofungwa na Luis Jose Miquissone dakika ya 30 kipindi cha kwanza.

Simba 1-0 Al Ahly.

Related Articles

Back to top button
Close