Msanii wa vichekesho na mshereheshaji MC Pilipili ametoa misaada ya vitu mbalimbali vikiwemo vyakula, sabuni na nguo katika kituo cha Elimu na Maisha kilichopo Chalinze Lugoba ambacho huwapatia watoto wasiojiweza elimu ya maisha na namna ya kujitegemea kwa kufundishwa stadi za kazi kama vile kilimo cha mbogamboga.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
MUSIC AUDIO: Wakateezo Ft Msami – MUZIKI3 days ago
-
MUSIC AUDIO: Zuri Music – RAHA2 weeks ago