BurudaniDiamond Platnumz
Furaha ya Mose Iyobo juu ya Komasava (Video)

Densa wa @diamondplatnumz @moseiyobo ameeleza furaha yake baada ya kuona @chrisbrownofficial anacheza wimbo wa KOMASAVA wa @diamondplatnumz na katumia staili alizozibuni mwenyewe.
Anasema kuwa imemuongezea nguvu sana na anajitahisi abuni staili zingine zitakazopendwa zaidi.
Lakini pia @mashalovietz naye ametia neno @chrisbrownofficial kucheza wimbo wa @diamondplatnumz
Mahojiano yote yapo YouTube ya Bongofive.