Burudani

G Nako atoa ya moyoni, amkimbiza vibaya Khaligraph Jones – (Video)

Rapa wa Bongo Fleva Gnako Warawara ameeleza sababu za kusema anavujisha ngoma za weusi maana ngoma ni kali na zimekaa ndani tu.

G Nako pia ameweka wazi kuwa verse yake kwenye wimbo wa Nandy wa ‘Dah Remix’ ndio Verse bora kuliko za Wasanii wote kwenye huo wimbo.

Anaongeza kuwa Verse hiyo aliiandika mara tatu yaani aliandika Verse  tatu na akaachia watu na studio wachague ipi kali.

G Nako ameulizwa na El_mando je wakati wanapewa taarifa juu ya Collabo hiyo walitaarifiwa kuhusu uwepo na rapa wa kenya Khaligraph Jones.

G Nako amesema  wasanii wote waliopo kwenye wimbo huo hakuna hata mmoja aliyejua kuwa kuna wasanii wengine na hawakujua majina ya wasanii waliopo kwenye Collabo.

Kwa namna unavyoisikiza ‘Dah Remix’ unadhani Rapa gani kaua zaidi kwenye Verse yake.

Interviw nzima ipo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive:

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents