Michezo
GB 64 Amtemea cheche Ali Kamwe, Ugomvi wa Pacome, Chama na Aziz Ki auanika wazi (Video)

GB 64: UBAYA UBWELA USHAMFIKIA ALI KAMWE
Shabiki Nguli wa klabu ya Simba official_gb64 leo katika Mahojiano na Bongo5 anadai kuwa Afisa Habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe Ubaya Ubwela ushaanza kumfikia na kingine amegusia swala la ubora wa Simba na aina ya sajili wanazofanya wapinzani wao wa jadi Yanga ndiyo maana anaamini ubora wao umeshuka, Pia amegusia swala la Aziz Ki kubaki Tanzania na maendeleo ya kiwango chake kwa Ujumla.
Je GB 64 unampa asilimia ngapi kwa anachokiongea shabiki huyu wa klabu ya Simba.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga & @kashmill_99






