Michezo
GB 64 amwaga sifa kwa Hans Rafael, Simba msimu huu Bingwa Shirikisho (Video)

GB 64: SIMBA TUNA JAMBO LETU MSIMU HUU
Shabiki nguli wa klabu ya Simba leo akiwa na Bongo5 ametamba kwamba kwa msimu huu wanajambo lao kama Simba anadai kuwa huwezi sajili mchezaji kama Mpanzu ukawaza kuwa nafasi ya Pili pia ameongeza na kusema kuwa msimu huu Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika Simba ndiye atakuwa Bingwa maana ana kikosi kilicho kamili kwa ajili ya Msimu huu pia amesifia Uongozi wake n kusema ameridhishwa na mwenendo na utendaji wa Viongozi hao katika klabu ya Simba
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga & @kashmill_99






