
GB 64: YANGA NI KAMA HAWAELEWEKI WANACHOKITAKA
Shabiki Nguli wa klabu ya Simba Maarufu kama GB 64 leo akiwa na Mahojiano na Bongo5 amedai kuwa wapinzani wao Yanga ni kama hawajui nini wanachokitaka katika Msimu huu.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @samirkakaa & @Johnbosco_mbanga