
Shabiki Nguli wa klabu ya Simba maarufu kama GB 64 akiwa na Mahojiano na Bongo5 ametangaza haki ya hatari kwa timu ya Yanga na kudai kuwa wakati huu wenyewe Simba wamejipanga kuondoka na makombe yote wanayoshindana.
Je kwa kauli hii ya GB 64 unaona Simba akichukua Makombe yote anayoshiriki??
bonyeza link hapa kuangalia video kamili: