
GB 64 ATOA UJUMBE HUU KWA YANGA๐๐
Shabiki Nguli wa klabu ya Simba maarufu kama GB 64 leo akiwa na Mahojiano na Bongo5 ametoa ujumbe kwa klabu ya Yanga kutokana na mwenendo wa Ligi kwa Ujumla.
Pia anaonyesha kufurahishwa na taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni juu ya urejeo wa mchezaji Clatous Chota Chama kwenye klabu yake ya Zamani ya Wekundu wa Msimbazi.
Pia ametokea kuchukizwa na kauli zinazotolewa na Shabiki wa Klabu wa Yanga kama Ahadi ametoa mtazamo wake juu ya Shetani wa Yanga.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5