Michezo
GB 64 atoboa Siri nzito ya Yanga (Video)
GB 64 CONSTANTINE AKIKAA VIBAYA TUNAWACHAPA,SISI NI POINT 3 TU
Shabiki Maarufu wa klabu ya Simba GB 64 leo akiwa na Mahojiano na Bongo5, tumepata nafasi ya kuzungumza nae juu ya mchezo Ujao wa klabu yake pendwa Simba katika Kombe la Klabu Bingwa Afrika.
Ametoa maoni yake na kusema pia wapinzani wao kutoka Algeria CS Constantine wasipokaa Vizuri basi Simba itaondoka na Alama 3 katika mchezo huo kwani Simba tayari ina Uzoefu na Waarabu.
Pia tumepata nafasi ya kuongea nae juu ya mchezo wa watani wao Yanga dhidi ya MC Alger utakaopigwa huko huko Algeria siku ya Jumamosi saa 4:00 usiku ametoa maoni yake kuelekea mchezo huo pia.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga & Abbrah255