Michezo
GB 64: Pacome tumewaibia Yanga si wanataka tukomoane (Video)
PACOME KUTUA SIMBA GB 64 AWEKA MAMBO WAZI
Leo katika Mahojiano yetu na Shabiki Nguli wa Klabu ya Simba maarufu kwa jina GB 64 amefunguka juu ya Mchezaji wa Klabu ya Yanga Pacome kutumkia Msimbazi katika Dirisha kubwa lijalo la Usajili, Pia GB64 ametangaza kusitisha kuangalia baadhi ya michezo kwa sababu alizozibainisha yeye mwenyewe.
Pia ametoa neno kwa msemaji wa Zamani wa klabu ya Yanga Haji Manara
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga & @kashmill_99