Burudani
George Job akubali uwezo wa Kocha mpya Simba, awakataa Yanga

Mchambuzi wa mpira wa miguu @georgejob_gj amefunguka juu ya nafasi za klabu ya Simba na Yanga kwenye michezo ya klabu Bingwa Afrika itakayopigwa
Jumamosi pamoja na Jumapili.
Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @witnessflavian24 & Johnbosco_mbanga






