Michezo
Gerson Msigwa aumia na matokeo ya Simba

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari utamaduni na michezo Gerson Msigwa anadai siku ya leo iliandaliwa pesa nyingi ya goli la mama kwa kuamini Simba wangeshinda goli nyingi lakini Nzingizini Hotspurs wamemshangaza.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube bongofive
Imeandikwa na kuandaliwa @witnessflavian24 & @johnbosco_mbanga






