Burudani

Gigy Money afunguka hajasamehewa na Alikiba “Ukaribu wangu niliutumia vibaya” (Video)

Msanii wa muziki @gigy_money_og amefunguka mengi na Bongo5 hukusu maisha yake ya safari ya kutafuta ustaa.

Katika harakati hizo amedai moja ya vitu ambayo alivitumia vibaya ni ukaribu wake kwa Alikiba ambapo amedai wakati huo alikuwa mdogo na alikuwa hajui madhara ya kitu ambacho amefanya.

Amedai sasa hivi akikutana na Alikiba hawezi hata kumsemesha kutokana na matukio ambayo yalitokea huko nyuma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents