Burudani

Gigy Money asimulia alivyolipa faini Tsh Mil 5 kisa kumtukana Nandy “Nilikosea kweli” (Video)

Msanii @gigy_money_og kuwa hapo alipo haikuwa kazi rahisi kabisa kwani amepitia mengi ambayo angependa wengine wajifunze ili wasiingie mkenge.

Muimbaji huyo ambaye amedai amelelewa na mtaa kwani Mama yake alikuwa busy kutafuta pesa, aliingia mjini kutokana na kuwasema mastaa kuhusu maisha yao.

Hatika aina hiyo ya maisha Gigy amedai amekoma kutukana watu kwani alikaa maabusu kwa kosa la kumtukana msanii Nandy.

Amedai kumpitia kesi hiyo alilipa faini ya Tsh Mil. 5 kutoka na kosa hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents