Msanii wa muziki @gigy_money_og ambaye haishiwi vituko ameshare nasi mafanikio yake kwa kutonyesha gari aina ya V8 ambayo amedai ameinunua.
Siku ya jana Gigy aliweka ujumbe Instagram akimshukuru kijana mjasiriamali @dicksoundmall kwa jinsi alivyobadili muonekano wa gari yake hiyo mpya.