Burudani

Gigy Money na Saraphina wahoji namna AudioMack inavyoweza kubadilisha maisha ya wasanii Tanzania

Msanii wa muziki @gigy_money_og pamoja na @saraphina__tz ni moja kati ya wasanii ambao walihudhuria workshop ya mtandao wa kuuza nyimbo za wasanii @audiomackafrica kwa ajili ya kuona fursa mbalimbali ambazo zinapatikana kupitia platform hiyo kubwa ya muziki duniani.

Tukio hilo la aina yake limefanyika Hyatt Hotel jijini Dar Es Salaam na kuwakutanisha wadau mbalimbalu wa muziki nchini Tanzania.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya BongoFive

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents