Michezo
Gody Yanga apagawa na Kundi la Yanga CAF (video)

Shabiki Nguli wa klabu ya Yanga maarufu kama Gody Yanga Leo baada ya Droo ya hatua za Makundi ya klabu Bingwa Afrika kufanyika na Yanga kuangukia kundi A ametamba na kutoa tathimini juu ya wapinzani wanaoenda kukutana nao na kuahidi Yanga kumaliza kinara kwenye Kundi hilo.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga