Ally Mzuri amesema kuwa goli alilofungwa kipa wa Simba SC, Aishi Manula kama angefungwa mlindalango wa timu nyingine lingekuwa shida kubwa na pengine hata kuhusishwa na kupokea chochote kitu, lakini kwakuwa kafungwa Manula watu wamechukulia powa.
Mchambuzi huyo wa soka chipukizi @allimzuri20 ameyasema hayo kupitia #B5Sports ya Bongo 5.
Host @fumo255 and edited by @sameeer2_