Michezo

GSM waingia mkataba wa mamilioni na TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba na GSM Group kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC wenye thamani ya shilingi bilioni 2.1 kwa kipindi cha miaka miwili.

Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Group Eng.Hersi Said akizungumza wakati wa Hafla ya kusaini mkataba huo wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC kati ya TFF na GSM Group wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka 2.

Related Articles

Back to top button