Michezo

Guardiola ashika nafasi ya tatu baada ya Sir Ferguson na Bob Paisley

Kufuatia Manchester City kushinda taji la Premier League hapo jana, Pep Guardiola anakuwa kocha wa tatu kutwaa ubingwa huo mara nne ndani ya misimu mitano akitanguliwa na Bob Paisley na Sir Alex Ferguson.

Baada ya ubingwa huo, Guardiola amesema kwa mafanikio hayo kikosi chake kits kumbwa daima.

Guardiola amedai kuwa hajawahi kuona timu kama Liverpool katika maisha yake.

”Sijawahi kuona timu kama Liverpool katika maisha yangu. Lakini wametusaidia kuwa timu bora msimu kwa msimu.”

”Tuna tambua kuchukua ubingwa mara nne ndani ya misimu mitano ni mafanikio makubwa sana. Kushinda katika nchi hii mara nne katika misimu mitano ni kwa sababu hawa vijana ni spesho.”

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents