Msanii wa muziki @h.baba_ amefunguka jinsi maisha yake yalivyobadilika baada ya kuanza kufanya kazi na @diamondplatnumz .
Amedai amekuwa akishauriwa mambo mengi na muimbaji huyo ambaye kwa sasa ni mfanyabiashara mkubwa nchini Tanzania.
Amedai hivi karibuni amesainu dili la mamilioni pesa ambayo anaenda kuwekeza kwenye biashara pamoja na ujenzi wa nyumba yake nyingine.
Written and edited by @yasiningitu