BurudaniHabariMahojiano

H Baba asimulia namna wasanii wa Konde Gang walivyoishi maisha magumu

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @h.baba_ amekaa na @el_mando_tz na kupiga naye story nyingi sana.

Kabla ya mahojiano @h.baba_ alianza kwa kuomba dua kwa ajili ya mahojiano lakini baadae kueleza sababu za kuomba dua ile

@h.baba_ anasema kuwa alifanyiwa fitna nuimbo yake ikafutwa.

H Baba anasema kuwa mpaka sasa amefilisika mali zake zote kwa sababu aliamua kuacha kazi zako na kuanza kumtetea Harmonize juu ya yale aliyokuwa anapitia kipindi cha nyumba baada ya kutoka kwenye lebo yake ya zamani.

Anaongeza kuwa kama watu wanaona yeye muongo kwa anayoyaongea je kuhusu wasanii walioondoka kwenye lebo ile nao waongo??

Mbali na hilo H Baba anasema kuwa mpaka sasa amefilisika mali zake zote kwa sababu aliamua kuacha kazi zako na kuanza kumtetea Harmonize juu ya yale aliyokuwa anapitia kipindi cha nyumba baada ya kutoka kwenye lebo yake ya zamani.

Anaongeza kuwa kama watu wanaona yeye muongo kwa anayoyaongea je kuhusu wasanii walioondoka kwenye lebo ile nao waongo??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents