Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

H. Baba: Harmonize anataka kuwafukuza wasanii wake

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @h.baba_ ameonyesha kutofurahishwa na namna @harmonize_tz anavyoendesha lebo yake ya Konde Gang.

@h.baba_ amemuomba @officialalikiba kuwarudisha @officialcheed na @officialkilly_tz ambao walikuwa wasanii wake na kudai kule hawalipwi.

@h.baba_ amesimulia namna @ibraah_tz anavyopitia wakati mgumu huku akienda mbali zaidi akisema kiki ya @ibraah_tz na @miriamodemba @harmonize_tz alimkataza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents