Michezo

Haji Manara amlipua tena Rais Karia wa TFF

Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.
Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza ‘UHALALI’wa kuendelea kuongoza TFF.

Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho kama Kiongozi ,Umeleta Ukanda na Umezidharau Media nyingine za nje ya Mkoa wa Tanga!!

Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.
Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝

 

Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy Tangana kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo ,Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.

#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa

 

 

Credit: Manara Instagram

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents