Haji Manara atema Nyongo kisa Ricardo Momo

Momo kuna kitu leo umeongea ni sahihi kabisa,Wachambuzi wengi hawawezi kusema lolote kwa TFF hii,,Sababu wanagharamikiwa Tickets za Safari za Team ya Taifa inapocheza nje na hulipiwa Malazi na Ubwabwa wa bure,
Kisha hulipwa Dola Mia Mia,za Posho kwa kila safari,,,Hao hata Wakiona Madudu kiasi gani hawawezi kusema chochote,,
By The way, Achana na za ndani,Chukua hii ya nje Bro,
Wameshaanza kutamba kwenye Mitandao yao, Eti Mh Rais atawaita Viongozi waΒ @yangascΒ na kuwasihi wakubali kucheza hiyo mechi. Na kwa Msisitizo washazua atakuwa ndio Mgeni Rasmi !!
Mama yetu na Khalifa wa Nchi hii,ukisema wewe ni Sheria ila tunakuomba sana, hawa jamaa wanafanya kusudi kuzisigina kanuni walizojiwekea wao wenyewe, ili baadae waje kukutumia kumaliza hili jambo, Hatuna Vidole vya kuandika katika kukushauri Amiri Jeshi Mkuu.
Ila ikikupendeza na kwa adabu tunaomba,utufunze matumizi sahihi ya Kanuni ili kesho tusirudie rudie makosa yetu πππππ
@samia_suluhu_hassanΒ Mitano Again
πππππ
@ricardomomo