
Manara amefafanua kuhusu Kesi yake na Maimatha na anataka kulipwa Bilioni moja.
Katika hela hiyo asilimia 50 atasaidia Waandishi kuboresha Uandishi wao wa Habari wawe na weledi zaidi.
Video nzima ipo YouTube ya Bongofive.
Credit by Abbrah255 & @el_mando_tz