Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudani
Hakuna Matata ndiyo Video bora ya Mwaka?? (Video)

BRAND NEW VIDEO: Staa wa Bongo Fleva @marioo_tz ameachia video ya wimbo wake wa HAKUNA MATATA asubuhi ya leo.
Video hiyo imeshutiwa sehemu mbalimbali za Kiutalii Tanzania ikiwemo Mlima Kilimanjaro, Zanzibar na kwingineko.
Huenda hii ndio ikawa video bora ya mwaka??
Nenda kwenye akaunti yake ya Youtube kaitazame.






