Burudani

Hamisa Mobetto kwenye levo moja na Mke wa Ronalod na Messi

Msanii na Mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobetto ametokea kwenye orodha ya kimataifa ya Wanawake Maarufu wa Wachezaji wa Soka (WAGs) 10 Bora kwa idadi ya wafuasi wengi zaidi kwa robo ya pili ya mwaka 2025.

Katika Orodha hiyo Mpenzi wa Ronaldo 🔹 #GeorginaRodríguez: Mwanamitindo huyo mzaliwa wa Argentina na anayewakilisha Uhispania ameongeza uongozi wake kama mwanamke anayeongoza kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi miongoni mwa WAGs wa soka akiwa na wafuasi milioni 67.

🔹 #AntonelaRoccuzzo (mke wa Messi) anashika nafasi ya pili, huku rodakazi mwenzake kutoka Argentina akifuatiwa na Mpenzi wa Messi milioni 40 na Hamisa Mobeto akiwa nafasi ya 8 kama Mpenzi/mke wa Aziz Ki akiwa na milioni 12.

📈 Mbali na Georgina, waliopata ongezeko kubwa la wafuasi katika robo hii ya pili ni Antonela, Bruna (mpenzi wa Neymar), na Hamisa Mobetto kutoka Tanzania.

📉 Wakati huohuo, baadhi ya WAGs waliona kupungua kwa wafuasi wao kwa kiwango kikubwa:
• #BeckyG na #LeighAnne kila mmoja alipoteza wafuasi 200,000
• #PerrieEdwards na #PilarRubio walipoteza wafuasi 100,000 kila mmoja katika robo ya pili ya 2025.

1, @georginagio – 67M followers
2, antonelaroccuzzo – 40M followers
3, @iambeckyg — 37M followers
4, @victoriabeckham – 32.9M followers
5, @perrieedwards – 18.9M followers
6, @tinistoessel – 21.5M followers
7, @brunabiancardi – 13.8M followers
8, @hamisamobetto – 12.2M followers
9, @pilarrubio – 11M followers
10, @leighannepinnock – 9.8M followers

NB: Hawa ni Wapenzi na wake wa Wachezaji wa mpira wa Miguu tu duniani wanaongoza kwa wafuasi (Followers) wengi Instagram.

Ripoti hii imetolewa na Jarida la GMSSTATS_HP.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents