Hans Pope amjibu Manara: Hataki kusaini mkataba wa mil 4 kisa dili za GSM (+ Video)

Alichozungumza Zakaria Hans Pope kuhusu sakata la msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara na CEO wa kalbu hiyo Babra.

Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.

Related Articles

Back to top button