Mchambuzi wa soka kutoka nchini, Hans Rafael amechambua kwa Uchungu huku chozi likimlenga lenga matokeo ya mechi ya Morocco vs Tanzania ambayo yalikamilika kwa Taifa Stars kukubali kupigwa goli 3-0.