Muziki
Harmonize aachia ngoma yake aliyowashirikisha Awilo Longomba na H Baba (+ Audio)
Kutoka lebo ya @kondegang chini ya @harmonize_tz tayari Audio ya #Attitude imetoka. Kwenye ngoma hiyo @harmonize_tz amewashirikisha @awilolongomba na @h.baba_