Harmonize aachia remix ya ushamba akimshirikisha Naira Marley kutoka Nigeria (+ Audio)

CEO wa lebo ya @kondegang @harmonize_tz ameachia remix yake ya ngoma ya USHAMBA. Katika remix hiyo @harmonize_tz amemshirikisha msanii kutoka Nigeria @nairamarley

@nairamarley ndio yule msanii ambaye alitoa ngoma inayoitwa SOAPY ambaye alikuwa anaonyesha kama yupo gerezani na baadae beat ya ngoma hiyo alikuja kuitumia @diamondplatnumz kwenye ngoma yake ya BABALAO ambapo @diamondplatnumz alisema kuwa aliwasiliana naye.

@nairamarley amekuwa na uhusiano mzuri sasa na baadhi ya wasanii kutoka Tanzania.

Unaipa asilimia ngapi remix hii ya Ushamba,……..?

Related Articles

Back to top button
Close