Harmonize aachia video tatu kwa wakati mmoja, Moja akimshirikisha Lady Jaydee (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Konde Gang Harmonize ameachia video za ngoma zake tatu ambazo zipo kwenye album yake ya AFROEAST.

Harmonize ameachaia video ya ngoma ya Wife aliyomshirikisha Lady Jaydee pia Never give up remix ingawa amefanya kama Version ya Kiingereza na lakini pia video ya wimbo wa tatu ikiwa ni NISHAPONA.

Video zote amekuwa akifanya na Director Hanscana lakini Audio zake akifanya na Maproducer tofautitofauti.

Related Articles

Back to top button
Close