Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Harmonize alipigiwa simu na Burna boy, Wizkid na Davido wakamshukuru – Mwijaku

Mtangazaji huyo wa Clouds Media amethibitisha kuwa staa huyo wa muziki kutoka nchini Nigeria yupo nyumbani kwa Harmonize na huenda wakarekodi Buga remix.

Mbali na hilo Mwijaku ameweka wazi kuwa Harmonize ndiye aliyempelekea nguo Kizz Daniel hoteli ila alizikataa na kusema hawezi kuvaa pia cheni alikataa na baadaye Harmonize kumletea designer na kuzikataa nguo zao.

Mbali na hilo Kizz Daniel alitaka GUCCI original nyeusi full na viatu vyeupe, alikataa mpaka cheni za Harmonize ameongeza Mwijaku akizungumza na @el_mando_tz

Ameongeza kuwa Kizz Daniel ametakiwa kulipa milioni 400 na zote Harmonize atamlipia hapa Tanzania maana yeye hawezi kulipa akiwa nje ya nchi yao.

Pia Harmonize alipigiwa simu na wasanii wakubwa wa Nigeria Burna boy, Wizkid na Davido wakamshukuru Harmonize

Related Articles

Back to top button