Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Harmonize amemjibu Sallam Sk?? ameandika ujumbe huu

Kutokana na kile alichoandika Sallam Sk kuwa “Kwahiyo ameua lebo ameanzisha kundi na kujiita Mgambo mtu mbili” watu wengi wameunganisha ujumbe huo na Harmonize baada ya kuimba kuwa ametoboa kimuziki mbele ya Mkubwa Fella, Babu Tale, Kipara na Asake wa Tandale.

Baada ya ujumbe huo wa Sallam Harmonize alipost Insta Story yake na kuandika “Nikimkata” halafu akacheka.

Mashabiki hawajakaa kimya, wamemjia juu Sallam Sk wakiamini ujumbe huo unamhusu Harmonize na wengi wao wakimwambia Sallam anajishusha kumjibu Harmonize sio level zake.

Wengine wamefurahishwa na kusema kuwa kumbe Sallam anasikilizaga nyimbo za Harmonize na kumkaribisha Konde Gang wakimuita shabiki namba moja.

Sikilize comment zao na wewe toa moni yako kuhusu hili sakata.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive au tembelea www.bongo5.com.

Written by @el_mando_tz shot and edited by @beleghe

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents