Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Harmonize ameonyesha ukomavu dhidi ya Sallam Sk??

Wengi walitegemea kumuona @harmonize_tz akimjibu @sallam_sk baada ya @sallam_sk kurusha dongo kuwa ameua lebo na kuanzisha kundi la wawili wakijiita Mgambo.

@harmonize_tz amekaa kimya yeye ame-focus na muziki tu, jana ametqngaza kuachia ngoma nne ndani ya wiki hii.

Juzi juzi tu hapa kama wiki tatu zimepita ametoka kuachia album ya MADE FOR US na kabla ya hata mwezi kuisha anaachia ngoma nne.

Hii ni kubwa sana na ndio kitu kinacjponyesha uwezo wa msanii.

Inaonyesha ni kwa namna gani @harmonize_tz ameijulia biashara ya muziki, ameamua kufanya biashara kiukweli na sio masihara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents