BurudaniHabari

Harmonize amkabidhi Rais wa Msumbuji jezi mbele ya Rais Samia

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa: “Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ & Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ πŸ₯‚πŸ₯‚ Haya Ni Mataifa Makubwa Mawili Yenye History Kubwa Kwapamoja Mataifa Haya Yamekuwa Yakishirikiana Katika Nyakati Zote!!!! Furaha Iliyoje Kuona Upendo na Mshikamano Huu Unaendea Kudumishwa Na Kuboreshwa Zaidi!!!!!! Hongera Sana Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @samia_suluhu_hassanKwajitihada Za Usiku Na Mchana Kuhakikisha Unafungua na kuboresha Mahusiano Na Mianya Itakayoleta Tija Katika Nchii Yetu inafunguka Ama Kwa Hakika KAZI INAENDELEA!!!!!!! πŸƒβ€β™€οΈSpecial Thanks to President of Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ My Brother FILIPE NYUSI thanks For invitation God Bless You πŸ™ TOGETHER WE MADE ANOTHER HISTORY LAST NIGHT πŸ₯‚ Ninaimani Umeipenda na Kuifurahia Zawadi Niliyo Kuletea Kwa Maelekezo Ya Rais wangu SAMIA SULUHU HASSAN Karibu Sana Tanzania Nataraji Kukuona Umeivaa siku Za Karibuni Especially Utakapo Kuja Tanzania PLEASE VISIT TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ™ Maputo Me DADY & MY MAMA we do Stadium 🏟 Tomorrow 23/9/ Don’t miss it πŸ—£πŸ’¨πŸ’¨UK πŸ‡¬πŸ‡§ MILTON KEYNES 24/9/ This SARTUDAY”

Related Articles

Back to top button