BurudaniHabari

Harmonize; Asanteni Dar Es Salaam, tutapiga story na burudani

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize ameandika haya kuelekea show yake ya tarehe 25 decemba Werehouse;  Thank You Dar Es Salaam ❤️❤️❤️❤️ Niseme tu Huu Usiku Ni rasmi Sanaa Kwangu Na Wanangu Wataftajiii Nitakuimbia Nyimbo Zako Zote Pwendwa Huku Nikikuhadithia Story’s Zakufurahisha Na Zakuhuzunisha Lengo Ni Kukutia Nguvu Na Furaha Kwa Wakati Huo Huo !!!! PENGINE USIKU HUU KUTAKUWA NA MATUKIO UTAKAYO JIFUNZA ZAIDI !!!!! Hiii Ndio Post Yangu Ya Mwisho Kuhusu Show Hiii Nikusisitize Usikose USIKU HUUU WA 25/DECEMBER @harmonight2022 SHUKRANI @tvetanzania 😷 TICKETS ZOTE ZINAPATIKANA GETINI KUANZIA SAA 10:00 ASUBUHI 50k & 100k 💕💕🏃‍♀️ 🏃‍♂️

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents