BurudaniHabari

Harmonize ashauriwa kuinunua Timu ya Ndanda FC ya Mtwara

Harmonize kweli ni fahari ya Kusini utake usitake. Mashabiki wa muziki kutoka pande za Kusini ni kama tegemeo lao la kubwa katika muziki na mambo ya kijamii baada ya Rais huyo wa @kondegang kuwa na mafanikio makubwa kwenye muziki.

Jumanne hii baada ya Uongozi wa Timu ya Ndanda kutangaza kuiuza timu hiyo baada ya kushindwa kuiendesha, mashabiki wamemuomba msanii @harmonize_tz kuinunua timu hiyo.

Mmoja kati ya mashabilki hao aliandika “ @harmonize_tz another oppurtunity let’s make it for everyone as usualy sam_chaupole”

Una maoni gani juu ya ushauri huu?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents