Harmonize athibitisha kuachana na Poshy (Video)

Kupitia Insta Story yake @harmonize_tz ameandika kuwa.
“Naliona Kila neno Linalo Zungumzwa Kuhusu Mahusiano
Yangu !!!
TRUST ME IM NOT PROUD
siwezi Kukificha Nilicho Kiweka Public!!
Ukimya Wangu Unachagizwa Na Kuhofia Kauli Yoyote ikaibua Mitazamo Mbali Mbali !!!
HESHIMA YANGU KWA FAMILA YAKE NI KUBWA SAAANA Hatuko Pamoja For Good A IFIKE MAHALA TUNATAKIWA KUFAHAMU KILA LINALOTOKEWA LIMERANGWA NA
MUNGU !! KAMA SIO WAUMINI SANA BASI TUSIKILIZE HATA MANENO YA WAHENGA CHAHUYU HAKIWEZI KUWA CHA YULE !!
Mwisho Kabisa!!! NAOMBA NISIHUSISHWE KIMAHUSIANO NA YEYOTE
!!! KWA SASA !!! I NEED TIME TO TAKE CARE OF ME !!! Kujifunza Zaidi Nijue Wapi Nakosea Nini Niongeze! !!! A ONE MORE WEEK KUELEKEA @tanzaniamusicaward MWAKA JANA TUMETISHA SANAA
TUNASTAHILI KILA KOMBEY
HAKIKISHA MNAIPIGIA KURA
SINGLE AGAIN”
🎥 via @harmonize_tz Written by @el_mando_tz