
CEO wa Konde Gang @harmonize_tz ameweka wazi kumaliza tofauti zake na @rayvanny
@harmonize_tz amesema kuwa wameshakua sasa na haina haja ya kuendelea kuwa na ugomvi sasa ni muda wa kushirikiana kimuziki.
Fuatilia YouTube ya Bongofive kupata Updates Zote kuhusu @harmonize_tz
Credit by @el_mando_tz and @abbrah255 & @samirkakaa