Staa wa muziki wa Bongo Fleva @harmonize_tz amethibotisha kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mrembo huyu kutoka Rwanda @yolo_the_queen_
@harmonize_tz kupitia Insta story yake amemwagia sifa nyingi huku akisema ni mrembo kuliko ma-Ex wake wote.
Baada ya kuthibitisha kuwa kwenye penzi na mrembo huyu kutoka Rwanda Phiona @yolo_the_queen_
Aweka post nyingine na kusema kuwa yupo tayari kuchora Tattoo nyingine ya mrembo huyo.
@harmonize_tz ameongeza Mrembo Phiona ana sura/muonekano mzuri sana hivyo itakuwa vyema sana sura yake kuichora kwenye mwili wake.