Burudani

Harmonize kumnunulia Mama mtoto wake nyumba na gari, hataki awe mnyonge

Msanii wa muziki Harmonize ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Single Again’ amemuahidi Mama mtoto wake maisha mazuri pamoja nakumnunulia nyumba na gari kwa kumzalia mtoto wa pekee, Zurekha.

Muimbaji huyo ambaye Jumatano (15/03/2023) ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo amepokea salamu mbalimbali, alipokea salamu kutoka kwa mtoto wake ambaye ilimuibua.

“Happiest birthday Daddy. Thank you for everything that you have give You’re always been there for me as a dad an.. best friend as well. There is no other bond like our I LOVE YOU DADDY @harmonize_tz,”

Baada ya taarifa hiyo, Harmo na yeye aliamua kuandika ya moyoni kuhusu Mama mtoto wake huyo ambaye amekuwa naye bega kwa bega katika malezi ya mtoto wao.

“Mama Zurekha thanks for touching my life, dada najua Zuuh hawezi andika haya yote ila hiii ina maana kubwa sana kwangu. Akishakuwa mkubwa ataona na kujua kwa kiasi gani ulitamani wazazi wake tuwe pamoja !!!!! Ingawa ukipanga na MUNGU MTUKUFU anapanga kama ilivyo wazi. Hatujawahi kuwa wapenzii kiilivyo but i PROMISS You maisha yamenifundisha kukuona wa thamani na ninastahili kubadili maisha yako kama ulivyofanya niitwe BABA OKY . CAR & HOUSE BUSINESS vipo Mikononi mwangu in 2 Months INSHALLA Huwezi zaaa na KONDE ukawa unatia huruma. Hata NisipoKuwa na hela watu wananipenda saaaanaa siwezi SHINDWA TU VITU VIDOGO Ur next bosslady,” aliandika Harmonize kupitia Instagram yake.

Harmonize mara kadhaa amekuwa akitembea na mtoto wake huyo katika sehemu mbalimbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents