Harmonize kutumia miezi miwili Marekani

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @harmonize_tz anatarajia kutumbuiza nchini Marekani kwa muda wa miezi miwili.

Msanii huyu anayetamba kwa sasa na ngoma yake ya Sandakalawe ameweka wazi kuhusu Tour hiyo atakayo ifanya kuanzia mwezi Agosti mwaka huu nchini Marekani kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Related Articles

Back to top button