Harmonize na Rayvanny wahamishia ugomvi wao studio, wote watoa ngoma hizi (+ Audio)

Baada ya Harmonize kuachia ngma yake inayoitwa vibaya akizungumzia maisha aliyopitia na Kajala ambaye tayari wameachana, asubuhi ya leo Rayvanny naye ameachi ngoma mpya ya Nyamaza ikionyesha kabisa kumzungumzia Harmonize.

Related Articles

Back to top button