Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Harmonize: Youtube sio sehemu ya kujipima kwa wasanii
Akiongea mbele ya wasanii @harmonize_tz amesema kuwa Youtube sio sehemu ya kujipima wasanii wategemee sana platform zingine za kuuza muziki.
@harmonize_tz pia amesimulia namna alivyopata changamoto kupitia kazi zake YouTube.