Hii ni kutokana na ujumbe aliouweka kwenye mtandao wake wa Instagram mrembo huyo ambaye ni mwanamitindo anayejulikana kwa jina la @sishkikii
Baada ya ujumbe huo @harmonize_tz amekuja ku-comment chini ya post hiyo na kuweka maelezo ambayo yamewafanya watu wengi kuwa na maswali ya kujiuliza.
Mbali na hilo @sishkikii ameandika akimwambia @harmonize_tz haupo single tena.
Lakini mapema asubuhi @harmonize_tz ameeleza kuletewa zawadi ya birthday ingawa hakumtaja mhusika na wengi wakiinganisha matukio na kusema huenda akawa @sishkikii
Unahisi @harmonize_tz yupo kwenye penzi jipya na @sishkikii ??